Naamini mke wangu upo hapa

Mzee kujieleza unajua vzr..
Ukikosa mke na hapa[emoji1787][emoji1787]

Utamkuta peponi.
[emoji3][emoji3] uandishi mzuri umejipangilia anafaa kuandika hadithi za kusisimua

turudi kwenye maada Nina asilimia 95% tajwa hapo juu,inabidi nijisogeze au nisubiri foleni ipungue.
 
Nipo hapa mume wangu.
 
Umeweka mtego wako vizuri sana kwa kuanza na story ya huyo aliyekua mchumba wako kukusaliti,hapo lazima uwanase wale kina Mama huruma,
Good luck Mkuu.
Wanawake tuna huruma ndio
Ila point yako inaonyesha mtazamo hasi.
 
Usipende kuchukulia kila kitu too serious hapa jf,utateseka sana.
Anyway hongera Mke mtarajiwa.
Hilo jibu lirudi pia upande wako
Kuongea si kutenda.

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mke mtarajiwa [emoji3][emoji3][emoji3]

Ndotoni mwako.
Usipanic sana chai kama chai nyingine tu.
 
Hayo mavigezo yanazidi hata yale ya bondi za serikali. Kazi kweli, ngoja nikachukue fomu kwanza.
 
Thread closed wakuu, asanteni wote kwa michango yenu.
Acha ni deal na Private messages sasa hivi. Kila aliyekuja serious pm nimemjibu, katika wachache hao (3) naamini Mungu amemuandaa mmoja. Stay blessed
 
Sasa ndio unatafuta mke kwa staili hii Kama mtu ambaye hajaokoka? Omba Mungu atakupa mke mwema na sio kutumia akili yako
Bado nazidi kumwomba Mungu . Naamini anafanya kazi kwa namna ambayo wanadamu hatutarajii. Kama atatokea makanisa tajwa hapo juu obvious atakuwa ameokoka na mcha Mungu. Atleast that is a starting point, then..........
 
amekwambia kuwa ni mjamzito?
 

Tahadhari, Hakuna mtu Aliye serious anayetafuta mke kwa stile hii
 
Na akitokea mwenye vigezo vyote Ila hajaokoka unafanyaje?
Kuna vigezo ni modifiable na vingine ni non-modifiable yaani kuna vigezo vinaweza kubadilika mfano Dini/imani. Kama atakuwa tayari kuifuata imani ya kristo ya kanisa Pentecost na vigezo vingine vipo okay, hiyo haitakuwa shida (japo mtu anaweza kubadili imani ili tu apate anachokitaka na badaye akaja kugeuka)
Kuna vigezo havibadiliki mfano umri, kuwa na mtoto n.k hivo ndio vyenye changamoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…