Naamini Spurs atamshinda Arsenal leo, tutarudi kwenye hii post.

Forrest Gump

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2021
Posts
637
Reaction score
1,532
Labda ni instinct au over confidence, lakini nina imani Spurs anaenda kushinda mchezo huu.

Pressure ya the gunners iko juu, Conte ana hasira ya kuprove, Wachezaji wa Spurs have nothing to lose.

Niko tayari kurushiwa matope hapa wakipoteza, lakini Spurs anaenda kushinda.
 

Mkuu tumerudi kuna maelekezo mengine zaidi
 
Leo mkeka haujatiki aisee, pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…