Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 637
- 1,532
Hii itakuwa pia sanakwa ss asenali
🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂🤣🤣🤣😂😂😂Siyo kumfunga tu City yaan United bingwa wa EPL... Muda utaongea
Asenal haifungwi mara mbili na timu moja msimu huuAsenane nae tareh 22 atakandwa
natamani iwe hivyo ila naona Arsenal kapania mwaka huuSiyo kumfunga tu City yaan United bingwa wa EPL... Muda utaongea
Mbona kitambo tu yani kabla hata hujaandika City anakufa sawa Bi.AshuraMakimfunga city mimi ni ashura
Muda utaongea tu si muda Bundi anatua pale zeganaznatamani iwe hivyo ila naona Arsenal kapania mwaka huu
Hata kama kusingekuwa na hiyo mechi, wewe ni Ashura mzuri tu.Makimfunga city mimi ni ashura
BluMun-Zesitizenz mtajua wenyewe pale O.T Hamtoki salama et...Endeleeni kujipa matumaini sisi kama the cityzens tunawapiga palepale ot bila shida yeyote
Acha hii siku ifike tujue wapi panavujaLabda ni instinct au over confidence, lakini nina imani Manchester United anaenda kushinda mchezo huu.
Team spirit iko juu, team form ipo juu, tactically wameanza ku-improve.
Niko tayari kurushiwa matope hapa wakipoteza, lakini united anaenda kushinda.