Mzee wa Chai
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 684
- 1,202
Wewe na hao fans nani hana akiliUbaya United fans 70% hawanaga akili timamu
Ashura vp??Makimfunga city mimi ni ashura
Hello AshuraMakimfunga city mimi ni ashura
Ashura nakuitaMakimfunga city mimi ni ashura
Ashura ndembendembeMakimfunga city mimi ni ashura
HahahahhUzi wa utabiri lakini umegeuka wa ashura[emoji16][emoji851] amefanyaje!
SawaMakimfunga city mimi ni ashura
Ashura umeteaMakimfunga city mimi ni ashura
Sawa sawa mmetupiga vizurEndeleeni kujipa matumaini sisi kama the cityzens tunawapiga palepale ot bila shida yeyote
AshuraMakimfunga city mimi ni ashura
Mwambie akaribie mjengon nimeegesha mlango tuAshura
Mnakeraaaa hahahahaMwambie akaribie mjengon nimeegesha mlango tu
Ashura mambo???Makimfunga city mimi ni ashura
Hivi huu ujasiri wa kupenda kuitwa jina la mwanamke, kwa sababu tu za kipuuzi, mnaupata wapi?Makimfunga city mimi ni ashura
Wamekaza mafuvu nd tatizoMnakeraaaa hahahaha
Huyo jamaa hastahili pole ni mtu wa hovyo ,lugha ya matusi kwake ni kawaida tena bila sababu za msingi ndio maana hachelewi kula ban.Hivi huu ujasiri wa kupenda kuitwa jina la mwanamke, kwa sababu tu za kipuuzi, mnaupata wapi?
Anyway, pole kwa kula ban.
Ashura cheupe hujambo?Makimfunga city mimi ni ashura
Bangi inakukataa aisee, bora uiache mzee!Ubaya United fans 70% hawanaga akili timamu