"Naamshwa saa 9 ya usiku kufanya tendo la ndoa"

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
Kuna siku nilikuwa salon, kulikuwa na mashosti 2 wanaongea, nikawa nimejibanza na wao

hawakuniona . Shosti 1 alikuwa anamuhadithia mwenzake yanayomsibu, alikuwa anamwambia …. nanukuu:-

" Yaani shosti ,mwenzangu una raha sana, mume wako huwa anasafiri sana, mimi mwenzako

kila siku ikifika saa 9 ya usiku ndio naamshwa na mume wangu anataka nimpe mchezo, halafu ananifanya kwa nguvu hata kileleni huwa sifiki, imekuwa ndio tabia yake hataki mchezo mpake aamke saa 9 ya usiku na kuniamsha, mwenzio sina raha na ndoa, yaani taabu tupu" mwisho wa kunukuu


Maoni Yangu

Baada ya kusikia malalamiko ya yule mdada nilipatwa na huzuni kubwa na machozi yalinilengalenga, kumbe hawa dada zetu msione wanameremeta kumbe kuna mijanadume mingine wanawapa mateso makali, Jamani si vizuri kumuasha mwenzako saa 9 ya usiku na kuanza kumsulubu, si ustaarabu hata kidogo, Wanaume jamani tuwe na roho za huruma, tuwe na imani na hawa viumbe…
 
Labda bwana mkubwa mida hyo ndo anarudi kutoka kwenye mkate ndugu yangu tutajuaje!? Lakini km mtu anarudi nyumbani mapema say saa 2/3 ucku huo muda hauwezi kuwa trend yake. Hlf,kwan watu wa kwnye ndoa hii mambo ni kila siku jmn...!!!
 
tehe tehe......nimecheka kama mwehu, Boflo una mambo makubwa sana
 
Kuna dada tuko ofisi moja..majuzi hivi alikuwa anamhadithia mwenzake kuwa mume wake amerudi usiku na kumlazimisha apike pilau saa 8 usiku.
 
waendelee tu kuwapa haki zao ... kama vigezo na masharti vimeshindikana, wabwage manyanga
 
Jamani saa tisa usiku mtu ushaata kuota utajiri mmh
 
Ubakaji huo!Atafute suluhu!
 
Nlivyo na usingizi mie hayo mambo ya kuamshana saa9 usiku sijui ingekuaje.. Wanaume wengine sijui wana matatizo gani! Hawana utu kabisa. Mtu starehe anaigeuza karaha..
 
Wengine huwa wanapenda mida hiyo, mimi mke wangu anasema hapendi ile jioni, kwa hiyo mpaka alfajiri na mimi si mbishi nafuata anavyosema.
Ingawa anatatizo moja hata siku mmoja hajawahi kuanzisha toka tuwe wachumba mpka ndoa sasa.
Mwanzoni nilikuwa napendelea jioni baada ya misosi tu mnaoga na mambo mengine yanafuata. Lakini nikaona mwenzangu hacorparate, wakati nikimshikashika alikuwa akichukua dk 5 kulainika kunako K sasa nikanza siku nyingine natumia dk 30 na unakuta bado huwa namwuuliza kama hataki namwacha.
Kwa hiyo nimegundua sababu nyingine unakuta wanawake wenyewe hawacorparate mwisho wa siku na maziwa haja aondoke.
Tukumbuke mwanamke asipocorparate hata mwanaume hafurahii zaidi ya kumwaga na kupumzika.
Kama wanawake wote kwenye ndoa wanafanya hivi, basi ndiyo maana wanaume wanatoka nje ya ndoa. Ni embalasing sana.
 

anapaswa kumwelemishe njemba wake huyo rafiki yake sidhani kama ana msaada...............
 
Nlivyo na usingizi mie hayo mambo ya kuamshana saa9 usiku sijui ingekuaje.. Wanaume wengine sijui wana matatizo gani! Hawana utu kabisa. Mtu starehe anaigeuza karaha..

lala mchana usije ukamwagwa bila ya sababu ya maana.........badilisha tabia jiandae kumpakata mwenzio wakati huo......lol
 
Huyo mwanamke ni mvivu, mie wangu nikimuamsha usiku anafurahi kweli, anajuwa leo mzee kashikwa.

na akishikwa lazima ashikamane.........................
 
issues za kutimiza wajibu wa mke na mme ndani ya ndoa zinafaa kuachwa kwa wanandoa wenyewe... kuingiza connotations za ubakaji ndani ya ndoa nadhani ni kwenda too far

hoja siyo hiyo ingawaje tamati yako ni sahihi...........hoja ni kuwa hakuna kubakwa ndani ya familia..........that is it.......
 

amara nyingi kabla ya kumchukua kiujumla hutoa ushirikiano kibao....................akishaona amekunasa hapo ndiyo huanza khoja za kuwa siku hizi hana hamu au hana nguvu au kazi humchosha sana kamavile enzi zile kazi hakuwa nayo.................
 
Elimu ya mahusiano inahitajika kwa sana! Na hili ni janga la kidunia, kama wahusika hawafurahishani! sijui kwa nini hawakai na kuyaongea kiunaga ubaga!
 
Ukikubali kuolewa ukubali kulala bila ch**i,mwacheni atimize wajibu wake.Anachokilalamikia ni kutofika kileleni,tatizo ambalo kwa sasa limekua tatizo la kitaifa,kwa maoni yangu tumsaidie kwa kumpa maelekezo ya namna ya kufika kileleni ili kama na yy anadai anabakwa abakwe huku akifurahia kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…