"Naamshwa saa 9 ya usiku kufanya tendo la ndoa"



hapo red, unamaanisha nini mkuu.


halafu Boflo kama wewe mwanaume, saluni za kike ulifata nini?
 
muda wowote sawa, lakini iwe convenient kwa wote!

Mi nimerudi nimechoka toka kazini natakiwa nipumnzike ili nikukune sawa sawa sasa muda ambao nashtuka ndo huo saa9 ndo muda muafaka wa mm kula chakula cha usiku unatakiwa na wewe ujizoeeshe ikifika mida hiyo unakuwa standby kutoa mzigo.
 
Mkiachwa taabu.....mkipewa taabu.....usiku shida....mchana jua kali

"The strongest will survive and the weakest will perish"........................kazi ni kwako
 
kazi ipo!!
Au mzee anaamka saa za majambazi???
 
We unajulikana mbona kiboko yako chai

tehe tehe.....ama kweli nyani haoni kundule, angalia wewe sasa avatar yako unatangaza biashara yako
 
Jamaa ana jini mahaba,
 
Naona tatizo jamaa hali tiGo ndo maana analalamika raha ya tiGo iliwe usiku wa manane babu wee
 
tehe tehe.....ama kweli nyani haoni kundule, angalia wewe sasa avatar yako unatangaza biashara yako

Ulienda saloon kupaka wanja au kufanyiwa stiming? hivi magomeni hakulipi mpaka umeamua kwenda sinza kwa masharo?
 
saa 9 ya usiku sisi tunaamka kwenda kuchota maji kisimani halafu wenzetu mnafaidi hahaha.
 
wanawake anawaita mashosti wakati WANAWAKE KWA WANAWAKE NDIO HUPENDA KUITANA MASHOSTI!
 
kwa hizo posts hapo juu Boflo nakukana na nakukataza kutumia neno wanaume wenzangu!wewe upo kundi la peke yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…