"Naamshwa saa 9 ya usiku kufanya tendo la ndoa"

Nilidhani anapelekeshwa usiku kucha, aaah, kumbe anaachwa kupumziiika mpaka saa 9 ndio anakumbushwa. Kama usiku anapata shida, atafute suluhu ya kumpa mchana.
 
hilo janajike ni vivu na halijui wajibu wake na hilo janaume ni zembe mzigoni. Mimi kuna siku waifu alifiliwa na dadaake katika kumchombeza chombeza mzuka ukapanda, hafla msiba tukausahau tukaanza kuvutana manywele kiutu uzima, nikafanya manjonjo na waifu mwenyewe alionesha ushirikiano na furaha ya kutosha wakati wa mchezo. Baada ya game tukajifanya kulia kinafiki na kujutia kumbe wizi mtupu.
Nimemaliza
 
Mie sioni Kama ni tatizo Kama ndio raha zake why not, kuna wa saa 11 asubuhi mumewangu alikua ananikera mpaka nishazowea,au ushajitayarisha unataka kwenda kazini unasikia ebu njoo nikulize kitu hapo ndio ooooh utabebeshwa nao ukitoka hapo lazima usikie njaa....
 
Labda ndo masharti mmewe alopewa na mganga wake.. Uskute ana biashara za giza(tunguli).. Coz si ktendo cha kawaida.
 
wacha waipate jeuri yao,si mnaolewa kama fasheni ilimradi na nyie mmeolewa,ukiolewa kwa mapenzi sidhani mumeo atakuwa least considerate kiasi hicho kila siku akuamshe saa tisa,picha ninayopata hapa ni mmoja kumuona mwengine kama chombo cha starehe...kumtumia apendavyo,na kwakuwa huyo mwingine ameyataka kwa kutaka kuringishia mashosti kuwa na yeye ameolewa....serves her right,other wise....aachie manyanga mbona easy tu???
 
Khaaa....we mtoto wa kiume una nini???

unitue mwana wa mwenzio..

Kuna kuandika kikekike na kiumekiume???

heeee!dunia haitaisha maajabu!haya umeshajidhihirisha wewe ni nani!sasa kafungue thread mpya ujitambulishe rasmi kama wewe ndio walewale!usiendelee kujificha ktk kivuli cha uanamme!tetea haki yako jitambulishe hadharani
 
Naipatia picha hiyo saluni yako unayoenda yenye sehemu ya 'kujibanza'! Nachoka, manake umejibanza huku afu unaonekana makalio kioo cha kulee,lol
 
wait a minute,ulikuwa unafanya nini huko saloon ya wanawake na wewe ni mwanaume??? au unisex saloon?
 
Du! Nahisi kama tatizo limekukuta wewe na unatumia shost yako... Natania tu. Ila ka ndo hivyo hilo jamaa linalewa sana au linatumia viagra. La msingi mke aamue kusuka au kunyoa
 
Kuta zingekuwa zinaongea, hizi ndoa sijui ingekuwaje.
 
najaribu kupata picha...
ndio anamwanzaje aisee...
mtu alie fo fo fo...
kwanza umtoe ucngizini...
afu umpandishe mizuka...
ndo ugonge...
si asubuhi iyo...ebo...
labda kina ladha yake...ntajaribu
 

Vipi hapo hata yule sharobaro anayekuviziaga pale kona si unamuona chooo?
 

Unge mshauri ampige kama wanawake wa kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…