Naan bread

Hehehe umenirukaje lol! Tatizo ni balancing the meal. Unatakiwa ule mkate mmoja ama nusu, na protein, na matunda, na mboga za majani. Usisahau maji ya kunywa.

hata mkate wa mchele ukijishindilia tu hadi uvimbiwe itakuwa mule mule bwana. Tatizo ni mtamu wewe unajishindilia kama unajikomoa
 
Sa kama haendi choo si ina maana "the whole meals was full of nutrients n minerals" no need for defecation
[h=2]Tatizo la kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation)...[/h]
UKOSEFU wa choo ni tatizo sugu miongoni mwa watu wengi. Bila kujua kuwa ni tatizo ambalo linahitaji tiba ya haraka, watu wengi hupuuzia na kuona siyo tatizo kubwa na ni hali ya kawaida. Ukosefu wa choo wa muda mrefu, huwa ndiyo chanzo cha magonjwa mengine hatari.

Mtu anapokosa choo kikubwa kwa siku kadhaa, uchafu hujikusanya tumboni na unapokosa sehemu ya kutokea hukimbilia kwenye damu na kuingia kwenye mfumo mzima wa damu. Uchafu huo unapoingia kwenye mfumo wa damu huwa sumu na chanzo cha maradhi mengine ambayo hujitokeza baadae na kuanza kumuathiri mtu, bila kujua chanzo chake.

Kwa kawaida mtu unapaswa kupata choo cha uhakika japo mara moja kwa siku, kutegemeana na mlo wake wa kila siku, unapokosa choo kwa siku nzima ili hali una kula milo yote kwa siku, elewa una tatizo katika mfumo wako wa kusaga chakula hivyo unapaswa kuchukua hatua haraka.

MTU MWENYE TATIZO HILI ANA DALILI GANI?
Mtu mwenye tatizo la ukosefu wa choo huwa na dalili kadhaa, ikiwemo kutumia nguvu na muda mwingi wakati wa kujisadia haja kubwa. Pili ulimi wake huwa na utandu mweupe na hutoa harufu mbaya mdomoni. Mtu huyu pia hukosa hamu ya chakula na wakati wote tumbo huwa limejaa.

NINI HUSABABISHA TATIZO?
Tatizo la ukosefu wa choo husababishwa zaidi na ulaji mbaya wa vyakula, kuacha kula matunda na mboga na staili mbaya ya maisha ikiwa ni pamoja na kutokunywa maji ya kutosha kwa siku.

NINI KIFANYIKE?
Ili kuondoa tatizo kabla halijawa sugu, fanya moja miongoni mwa haya yafuatayo: Kunywa maji ya uvuguvugu asubuhi mapema, kisha tembea tembea, baada ya muda utasikia haja ya kwenda msalani. Ili usifanye haraka na upate muda wa kutosha kujiandaa kwenda kazini, amka mapema zaidi. Kula kiasi cha kutosha cha salad ya mboga mboga na juisi ya matunda halisi asubuhi kabla ya kula chochote.

Kila siku kabla ya kwenda kulala, kunywa maji ya uvugu yaliyochanganywa na kijiko kimoja cha asali. Kunywa maji ya uvugu yaliyochanganywa na limau asubuhi na mapema kabla hujala kitu chochote. Kunywa ‘castor Oil' muda mfupi kabla ya kwenda kulala. Ili kujiepusha kabisa na tatizo la ukosefu wa choo, jenga mazoea ya kunywa maji mengi, kula mboga na matunda kwa wingi kila siku na kuacha kabisa ulaji wa vyakula vilivyoondolewa virutubisho kama vile mikate myeupe, ugali wa unga mweupe, keki vyakula vyenye sukari nyingi na vyakula vingine vitamu. chanzo.
[h=1]Topic: Tatizo la kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation)...[/h]
 
Wewe Mwanajeshi inaelekea unapenda huo mkate Mbichi Naan Bread imekula kwako utajibeba mwenyewe............
 
Mie nala naan daily nseme ukweli tena baadhi ya mda natafuna hivi hivi na sisumbuliwi na chochote......mkwe MziziMkavu hebu niambie tatizo lipi hasa la naan ingredient ipi sio healthy? Ukisema ngano basi hata chapati,maandazi na wenziwe pia zipo sawa nazo tusile
 
Last edited by a moderator:
Naan is very healthy, napenda sana. Unaweza kunyunyiza ufuta juu kabla ya kubake.
MziziMkavu, hupati choo manake unazifakamia lol. Hebu uwe unakula moja per seating

Umeona eeeh shosti.....tena ukiweka maziwa ndio nzuri zaid
 
Last edited by a moderator:
Mbichi kivipi mkwe? Na chapati je
Afadhali ya chapati kuliko huo mkate Mbichi naan Bread siupendi hata kuona mimi. Umisababisha nipate maradhi sikutegemea katika maisha yangu ninauchukia sana huo mkate Mbichi Naan Bread.

View attachment 157174
Chapati na Naan Bread Haya fananisha kati ya chapati na huo Mkate wako mbichi ''Naan Bread'' Ni Mkate upi utakao chaguwa kula?
 
Wewe Endelea kula huo Mkate Mbichi ''Naan Bread'' Matokeo yake utakuja kuyaona baadae sio sasa Go a head .................
 

Huwa unaweka nini wakati unakula? Syrup? Jelly?
 
MziziMkavu wewe huzipendi tu naan bhana weee mkwe utuacheeeee tuleeee baina ya chapati na naan nachagua naan

Ukiniambia mibichi sikuelewi maana inawiva kabisa

Twende ki afya ijapokua sina ujuzi huo najua kukoroga tu lol mafuta yoyote yakichomwa sijui ndo kukaangwa yanakua na madhara kwa mfano chapati hata yawe extra virgin olive oil

Hiyo mie nimeambiwa na mtaalamu wa diet kipindi niko mjamzito coz nlikua sipendi kula chochote zaidi ya seafood nlikua natia hasara sana lol....labda kama muongo nkamsute (natania yakheeeee)
 
Last edited by a moderator:
Sawa mama mkwe nimekuelewa penda upendavyo kwa Raha zako weeeeeeeeee
 
MziziMkavu kwanza hapa umechanganya mkwe wangu


Na khubz or khobz or khoubz ni tofauti na naan kabisaaa naan ni ajemi kwa kiarabu tena ntabishana na wewe hadi asubuh hapa........
 
Last edited by a moderator:
Pita bread ndio khubz ila kuna mgongano apo maana kuta taifa moja la kiarabu kila aina ya mkate wanaita khubz nadhani hao wa syria
 

Hahaha jamani usiende kumsuta mtaalam wa watu. ..
Farkhina kule kwetu uhindini ndo tunaziita paratha? Maana viparatha vitamu we km sivyo hivi niwekee recipe shost ntashkuru
 
Last edited by a moderator:

Pole sana.
 

hapo ukijazia na ice cream pembeni au urojo yereee uwiii.... so yammy:music:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…