Napenda sana chapati ila mikati zamani nilikuwa sipendi,kutokana na mazingira nayoishi sasa hivi nimezoea mkate maana ukiagiza msosi wowote lazima uletwe wa bure
Siku hizi nishazoea naona ni mtamu ukizoea,naweza kula mkate hata na nyama.Vizuri mkwe wangu usijali binti atakupikia hadi uvimbiwe
huwa nakula kwa wahindi tu hivi vidude kumbe vyaitwa Naan teh teh...asante Farkhina
Thanks da Faa kwa kutuongezea maujuzi. Ntajarib in sha Allah pengine wtt watapenda