samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
mudahiri ndio nani?Yaani Mudahiri alilia alilia sana na kupiga chini kwa hasira we mzize unakosaje hapo.
Basi bhana ngoja tufatilie barua yetu CAF
Mzize Bado sana kwenye ujuzi wa kufunga akiwa karibu na goliYaani Mudahiri alilia alilia sana na kupiga chini kwa hasira we mzize unakosaje hapo.
Basi bhana ngoja tufatilie barua yetu CAF
Mzize ni un reliable striker, lini yanga watajufunza huyu bwana hawez kuwa prolific striker anymoreYaani Mudahiri alilia alilia sana na kupiga chini kwa hasira we mzize unakosaje hapo.
Basi bhana ngoja tufatilie barua yetu CAF
Mzize siyo tegemeo la mabao Bali kazi yake ni kusumbua mabeki kwasababu ana Kasi ana sifa nzuri ya ukasi lkn anahitaji ujuzi zaidi wa kufunga kwenye nyuzi ambazo kipa mzuri hawezi kuudaka, impossible angles not direct shoots to good goalkeepersMimi tokea msimu unaanza niliwaambia Mzize hafai kuna siku atatugharimu, Wakipekee akanitukana sana kwamba nina chuki binafsi.
Kila mmoja anaona sasa, yule hana kiwango cha kucheza Yanga hii.
Kwani kuangalia mpira haiwezi kuwa kazi? What if ni Mchambuzi, kocha, soka agent n.k?Dahhhh ila JF
Yani umekosa kazi ya kufanya unaangalia mpira mala mbili mbili.
Home of great thinkers kweli???????
Wakati mnamlaumu Mzize pia mjiulizeYaani Mudahiri alilia alilia sana na kupiga chini kwa hasira we mzize unakosaje hapo.
Basi bhana ngoja tufatilie barua yetu CAF
Mzize anapapala ya kupiga anatakiwa ajifunze utulivu kwa pacomeWakati mnamlaumu Mzize pia mjiulize
Yeye ameingia nadhani kuanzia dakika 60 na amepatata chance ambazo amekosa
Je waliocheza muda mrefu walipata chance ngapi?
Mzize anainekana anakosa chance nyingi kwa sababu anaweza kujiposition
Swala la kufunga ni changamoto kwa washambuliaji wengi
Hata huyo Shalulile mliyempa sifa nyingi bado hajufanya kitu Cha maana.
In short dogo ana changamoto ila changamoto sio yake tu ni almost washambuliaji wote wengi
Kwani kiangalia mpira haiwezi kuwa kazi? What if ni Mchambuzi, kocha, soka agent n.k?
Li Mzize amekuwa mzigo wa misumali pale yanga.Jamaa hayuko na utulivu matokeo yake anatupatia maumivu Kila wakati.Ni muda Sasa wamwache aende zake
Unamaanisha kama mwendazake?😲Li Mzize amekuwa mzigo wa misumali pale yanga.Jamaa hayuko na utulivu matokeo yake anatupatia maumivu Kila wakati.Ni muda Sasa wamwache aende zake