Naangalia marudio ya mpira Kati ya Simba na Al Ahly kupitia Azam TV, hakika Simba walipambana sana

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
7,893
Reaction score
8,816
Nafuatilia marejeo ya mpira Kati ya Simba na Alahal kupitia Azam sport, naagalia nikiwa sina presha kwa utulivu mkubwa, hakika Simba walionyesha kiwango cha juuu sana tena sana. Hii ilikuwa mechi kubwa sana na yenye hadhi ya kimataifa.

Sasa ninamatumaini makubwa kuwa leo lazima ushindi utapatikana.

Simba oyeee.
 
Mm mwenyw nipo naangalia hapa dkk ya 63 Simba ni kikundi Cha wahuni hawa hamna team hapa
 
Yaan utadhani waarabu walisomea
Albadir langoni kwao....

Waarabu Ni watu Wa bad sanaaa makafara Sanaa

Nimemkumbuka mtanange wa EGYPT VS IVORY COAST YA DIDIER DROGBA

DROGBA ALIKOSA GOLI MPIRA UKAPAA AKIWA YEYE NA LANGO..

Tuna mlima mrefu Leo all in all

Simba GUVU MOYA 👹
 
Nafuatilia marejeo ya mpira Kati ya Simba na Alahal kupitia Azam sport, naagalia nikiwa sina presha kwa utulivu mkubwa, hakika Simba walionyesha kiwango cha juuu sana tena sana. Hii ilikuwa mechi kubwa sana na yenye hadhi ya kimataifa.

Sasa ninamatumaini makubwa kuwa leo lazima ushindi utapatikana.

Simba oyeee.
Team kubwa anajuwa kushinda tu haya ya kupambana sana waachie team kama Mashujaa. Mkubwa yeye ni ushindi tu hakuna hizi story tumefungwa lakini tumepambana. Mpira umeharibika siku hizi utasikia wamefungwa lakini wamemiliki sana mpira sijui corner kumi na ujinga mwingi kupumbaza watu tu. Mchezo ni mshindi nani na ndio atakumbukwa baada ya game hakuna ataongelia shot ngapi on terget sijui corner ngapi hizo ni topic za kufungua discussion kwenye media lakini hazina maana yoyote.
 
kolozidad bado hajapata goli????subiri leo utathibitisha kama walicheza vizuri au laaaa
 
Nafuatilia marejeo ya mpira Kati ya Simba na Alahal kupitia Azam sport, naagalia nikiwa sina presha kwa utulivu mkubwa, hakika Simba walionyesha kiwango cha juuu sana tena sana. Hii ilikuwa mechi kubwa sana na yenye hadhi ya kimataifa.

Sasa ninamatumaini makubwa kuwa leo lazima ushindi utapatikana.

Simba oyeee.

Baada ya kupmbana?
 
wameonyesha viwango vya juu sana.
Kaangalie hii mechi utapata jibu
IMG_20240401_171706.jpg
 
Mwisho wake? Mato

Matokeo?
Hatukuwa na bahati ya kufunga lakini kiwango cha mpira Simba iko juu sana.
Wamepiga game ya kiume.
Hongera kwa Simba, wameshindwa kiume.

NAWAPONGEZA SANA KWA MOYO SAFI KABISA.

KIWANGO WALICHO KIONYESHA WAKIENDWLEZA WASIRUDI NYUMA
 
Unasifia ujinga tu
 
Ok
 
Back
Top Bottom