Night Watch
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 2,092
- 2,126
Hii ni mechi ya mzunguko wa tatu baina ya majimaji vs yanga.Yanga ya msimu huu sijui kama tutoboa,mashabiki wa yanga popote mlipo tujiandae kisaikolojia.Timu inacheza utafikiri inashiriki ndondo cup,labda Ajibu anatufariji na ufundi anao onyesha.
Kwa mtizamo wangu inaweza kuwa zamu yetu kuitwa wa mchangani msimu wa champions league ujao.
Ngoja niombe walau tushinde kamoja ila ni mbinde kupata hata hilo.
Mashabiki wa yanga tukubali ukweli huu mchungu.Yanga hii sio.