Night Watch
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 2,092
- 2,126
Naomba matokeo hadi ss mkuuHii ni mechi ya mzunguko wa tatu baina ya majimaji vs yanga.Yanga ya msimu huu sijui kama tutoboa,mashabiki wa yanga popote mlipo tujiandae kisaikolojia.Timu inacheza utafikiri inashiriki ndondo cup,labda Ajibu anatufariji na ufundi anao onyesha.
Kwa mtizamo wangu inaweza kuwa zamu yetu kuitwa wa mchangani msimu wa champions league ujao.
Ngoja niombe walau tushinde kamoja ila ni mbinde kupata hata hilo.
Mashabiki wa yanga tukubali ukweli huu mchungu.Yanga hii sio.
Majimaji 1:0 Yanga dakika70Naomba matokeo hadi ss mkuu
Yani hakuna team kabisa hapo.Mkuu wewe ni mkweli kabsa!
Sahihi kabisa yanga mbovu.Nililiona hilo tangu mechi ya Young Africans na Singida United
Ukweli mchungu huo na tushapigwa kimoja.
Shabiki wa yanga na wewe.Daaa
Inasikitisha sana
Yanga wamesawazisha 1:1Naomba matokeo hadi ss mkuu
Usihofu Manji yuko uraiani HV sasa......tehe tehe tehe.Hii ni mechi ya mzunguko wa tatu baina ya majimaji vs yanga.Yanga ya msimu huu sijui kama tutoboa,mashabiki wa yanga popote mlipo tujiandae kisaikolojia.Timu inacheza utafikiri inashiriki ndondo cup,labda Ajibu anatufariji na ufundi anao onyesha.
Kwa mtizamo wangu inaweza kuwa zamu yetu kuitwa wa mchangani msimu wa champions league ujao.
Ngoja niombe walau tushinde kamoja ila ni mbinde kupata hata hilo.
Mashabiki wa yanga tukubali ukweli huu mchungu.Yanga hii sio.
Umeona kocha jina kubwa hila hakuna kitu.Bila kocha wa maana kwanza hii round ni nzito kwetu. Tule matapishi tuondoe aibu tumrudishe Kocha wetu Hans
Sawa.Usihofu Manji yuko uraiani HV sasa......tehe tehe tehe.