Naangalia tuzo za Ligi Zanzibar (FARAFA) wameweka taarabu

Naangalia tuzo za Ligi Zanzibar (FARAFA) wameweka taarabu

Wimbo wa Taifa la Zanzibar una mahadhi ya Taarabu sawa na tungo za Issa Matona
 
Hao waache hivyo hivyo

Huoni kina bacca wamekimbilia huku?
 
Sasa taarabu ya zenji na singeli ya Bara Zina tofauti gani?.. tena singeli si ndio wanaume wanakatika kabisa... sisi na wao ngoma droo tu sasa hivi
 
Mi sijaona tatizo .. taarabu ni muziki pendwa kwenye maeneo ya pwani
 
Nikimwoma mwanaume asikiliza au kuomba utopolo unaaoitwa taarabu huwa na mashaka naye
 
Mi sijaona tatizo .. taarabu ni muziki pendwa kwenye maeneo ya pwani
Ukifuatilia taarabu utagundua inaendana zaidi na jinsia ya kike. Lakini kule Zanzibar unakuta mijianaume inajilegeza kuimba na kucheza taarabu halafu wanaweka vidole juu mfano wa mwanahamis na mwanahawa. NDIO MAANA KULE KUNAONGOZA KWA TABIA FULANI HIVI KWA VIJANA.

MWANAUME RIJALI HAWEZI KUJISHUGHULISHA NA TAARABU
 
Nikimwoma mwanaume asikiliza au kuomba utopolo unaaoitwa taarabu huwa na mashaka naye
Taarabu ni muziki uliotamba tangu mapema 1900 mpaka 2000 mwanzoni,baba yako kasikiliza Sana na kurudia kuimba,muziki ulikua taarabu,rhumba, reggae,bolingo, pop,hii miziki ya kurap na r&b imekubalika 2000 mwanzoni,issa matona na wengine ni waimbaji nguli wa taarabu,tungo za taarabu zina kiswahili fasaha na mantiki tofauti na mnachoimba kwenye amapiano na rap zenu,na uchafu unaoitwa singeli
 
Hayo ni ma Qaswida sio muziki
 
Hayo ni ma Qaswida sio muziki
Kampuni ya universal ilimsajili kwenye label yake Siri bint saada,muimba taarabu,Siti alifariki miaka ya 1960,universal ni label ya muziki,wewe ndiye usemae taarabu si muziki
 
Ukweli utabaki kuwa zenji licha ya kuwa ndogo kuna vipaji kuliko bara!
Mnachekesha sana, vipaji vipi hivyo? Kwenye music, footbal na kila aina ya mchezo bado bara wanaongoza sijui hivyo vipaji vya zenji ni kwenye nini!? Labda uchoko
 
Sasa ulitaka waweke Gospel ? Tuzo zinaendana na burudani na kwao Taarabu ni moja ya burudani....; When in Rome do as Romans....
 
Back
Top Bottom