Naangamia mwenzenu nisaidieni pls!


Mabenki na taasisi nyingi za fedha na za kimataifa huwa hawaajiri direct..wanatumia recruiting agencies..cha msingi ni yeye kuweza kutuma CV yake kwa agency mbali mbali kama Erolink, Proffesional Approach etc..hilo ndio litakalo mtoa kutoka kijiweni..otherwise itaendelea kula kwake.
 


Hizo recruiting agencies nyingine ni utapeli mtupu. Wengi ya waliofanya CRDB walipeleka Interview zao Direct na wote waliitwa kwenye Interview. Ninamshauri kitu ambacho nina uhakika nacho. Hawa mabinti zangu waliitwa kufanya Interview kwenye several bank, lakini walichagua kufa na CRDB na kuacha kwenda kule kwingine. Hawakutumia recruiting agencies yoyote zaidi ya kumuomba Mungu. Wewe kijana peleka CV zako na utulie usubiri kuitwa. Mradi uwe na subira na usiwe na haraka. Achana na hao matapeli wanaojiita recruiting agencies. Labda kama unataka kufanya kazi customer care za vodacom, Airtel etc ambao hawajali Taaluma yako, wao mradi uwe na degree na ujue mshahara mtagawana nusu kwa nusu kila mwezi.
 
Pole sana...kazi zinasumbua uchumi unakua kwa kasi ndogo ya kuweza kuajiri kila mtu anayetafuta kazi. We have to start planning and think outside the box
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…