Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Meona eeeh.Siamini kabisa kama wewe ni mgeni humu.
Kilicho kigeni humu litakuwa ni hilo jina lako.
Haha kwanini mkuu, mimi ni mgeni kabisa au uandishi wangu umekuogopesha?Siamini kabisa kama wewe ni mgeni humu.
Kilicho kigeni humu litakuwa ni hilo jina lako.
Naantombe
mhh
haya
Naitwa Naantombe Mushi natokea Kilimankyaro.Unaitwa nani???
Jina la kiasili kabisa halina hata chembe ya udhungu.hahaha hilo jina ni la Asili au la kidhungu ?
Haha kwanini mkuu, mimi ni mgeni kabisa au uandishi wangu umekuogopesha?
Eeeh meku akwa natokea KilimankyaroBila shaka atakuwa anatokea mkoa wenye mlima mrefu kuliko yote Africa
Huu mwaka wa mabadiliko sasa lazima tuyaishi mabadiliko.Ah wapi, hata uandishi wako tu unaonyesha we si mgeni humu.
Eeeh meku akwa natokea Kilimankyaro