Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
- Thread starter
-
- #21
Na ndo jina langu kabisa kabisa. Naantombe ni salamu ya asubuhi sababu nlizalia asubuhi na kwakuwa ni mtoto wa kiume babu yangu akasema huyu aitwe Naantombe.Mmmmmmh
Jina lako...
Naitwa Naantombe Mushi natokea Kilimankyaro.
Yaa Mushi a mangi roo kuch....Kwifenda ro mushi a mangi?
Nlikua naingia kama non member kwa hiyo hizi rejesta zimenikaa kweli kweli meku akwaa..Wageni hua kuandika neno "Mkuu" hawawezi kabisa
naantombeMushi has started following you.
Naitwa Naantombe Mushi natokea Kilimankyaro.
Haya nantombe karibu
Eeka mbee fweenda mborow aako?