Naantombe Mushi is in the house

Huku kwetu matombo morogoro hilo jina lako ungepata shida sana. Maana kila mtu angejiita Mushi
 
Umeshawasiliana na kamati ya michango kwa ajili ya malipo ya post ktk hili jukwaa hasa kwa mgeni kama ww??
 
Kama ni mwanaume. Amia tu us. Wameruhusu watu kama wewe. Kufanya watakalo. Kizazi cha sasa kimeharibika sana
 
Hahaaaaa..... Umenikumbusha jamaa mmoja anaitwa kumalijambologome...!
 

Asiwazingue ...

Anto kwa kimachame = Amshwa

Mbe = Mwanaume. Kwa kingereza ingekuwa = "He". kwa mwanamke = Mae = "SHE"

Kama salam ya asubuhi. ikimaanisha Umeamshwaje .. au Umeamkaje

Umeamshwaje mtu wa Kiume = Neantombe.

Umeamshaje mtu wa Kike = Neantomae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…