Pritty wa joseph
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,379
- 2,047
Haya nantombe karibu
Sina kinu mimi... nna liboho. Au ndo hilo unalitaka?gitereva kinuuuuuuuu
gitereva kinuuuuuuuu
Hahaha asante sana kson unajua huyu balibabambonahi anahitaji liboho afanyiwe hivi :smash:Kamwombe mama yako.mshenzi kabisa wewe.
hahaha we wa wap mkuu?Eka mushi
Kwifweenda???
Naitwa Naantombe Mushi natokea Kilimankyaro.
Kuna mwenzio huku wa Kagera anaitwa KYAMKUMA.Naitwa Naantombe Mushi natokea Kilimankyaro.
Eeeka meku akwa.Nantosa
Kibosho meku akwa.Habari za machame mbe
Naomba nikutanishe na huyu @kyamkumaKuna mhaya mwenzio anaitwa Kyamkuma! Analetaga balaa huyuuuu!
Hahaha vip tena binamu ndo jina langu hili. Halina tatizo kabisa.Ila hilo jina mjomba!
Naantombe ni salamu ya asubuhi kwa mwanaume. Ni sawa na kumuambia mtu "umeamkaje"Hilo jina maana yake ni nini?