Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kesho natarajia kuanza field ya education hiv kuna changamoto gani nitakazo kutana nazo na nitazikabili vipi
open university
open university
open ni chuo bora sana kuliko chuo kingine chochote kwani watu wanafight kuanzia kila kitu ukimleta bloiler yoyote kutoka chuo chochote hawezi kusoma pale
hopeless
hopeless
Unasoma chuo gani mkuu?
Open university tz! matatizo wanayopata open university'student ndio yapo shule za kata kuanzia mazingira magumu ya ujifunzaji na ufundishaji,vitabu vichache,nyumba za walimu hakuna,wingi wa wanafunz darasan,uchache wa walimu,wanafunz wengine ata kusoma na kuandka kiswahili Hawawez
suala la watu wenye uwezo mdogo lipo popote pale hadi ud wapo wenye uwezo mdogo ndio maana kuna wa kwanza na wa mwisho na magpa ya gentlemen