Naanza field ya elimu kesho msaada

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,262
Reaction score
2,184
kesho natarajia kuanza field ya education hiv kuna changamoto gani nitakazo kutana nazo na nitazikabili vipi
 
open university

Open university tz! matatizo wanayopata open university'student ndio yapo shule za kata kuanzia mazingira magumu ya ujifunzaji na ufundishaji,vitabu vichache,nyumba za walimu hakuna,wingi wa wanafunz darasan,uchache wa walimu,wanafunz wengine ata kusoma na kuandka kiswahili Hawawez
 
We nenda
Changamoto utazikuta huko shuleni na namna ya kukabiliana nazo utagundua huko huko
 
open ni chuo bora sana kuliko chuo kingine chochote kwani watu wanafight kuanzia kila kitu ukimleta bloiler yoyote kutoka chuo chochote hawezi kusoma pale
 
open ni chuo bora sana kuliko chuo kingine chochote kwani watu wanafight kuanzia kila kitu ukimleta bloiler yoyote kutoka chuo chochote hawezi kusoma pale

Hivi kweli eee!!!
 
OPEN UNIVERSITY wengi wanaosoma wana uwezo mdogo

suala la watu wenye uwezo mdogo lipo popote pale hadi ud wapo wenye uwezo mdogo ndio maana kuna wa kwanza na wa mwisho na magpa ya gentlemen
 
kwa hili swali....
Unasoma chuo gani mkuu?

nilijua majibu yalikuwa yaje haya!

btw, hata UDSM kwa mwaka 1989 wanafunzi walikuwa wanakaa mpaka chini!

documentary zipo za ushahidi, rais wa enzi zile alifukuzwa chuo sababu hiyo!

tusidharauliane jamani! Tanzania ni yetu sote, tushikamane kuleta maendeleo !
 
suala la watu wenye uwezo mdogo lipo popote pale hadi ud wapo wenye uwezo mdogo ndio maana kuna wa kwanza na wa mwisho na magpa ya gentlemen

Naionea huruma hiyo taasisi unayokwenda kufanya field
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…