Naanza kuamini kua Azam ile game aliuza

Naanza kuamini kua Azam ile game aliuza

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Vipi Team turudiane tuanze kurudiana?
😂😂
Mnamfunga Azam mnaanza kusema mrudiane na Yanga.

Mliwaza kuomba kurudiana na Yanga kila kona mnapiga pambio leo kimewalamba😂

Nawaza sana nilisema kwa ule mpira wa siku ile wa Azam..wachezaji wachuñguzwe na viongozi pia wa Azam wachunguzwe na TAKUKURU.

#Sisi Kesho tunaanza kukanyaga Ardhi ya Kaanani.😂😂
 
Matokeo ya Yanga vs Kagera huko Kaitaba ilikuwa ngapi ngapi?Mpaka ufikie conclusion kwamba ulitaraji Simba ashinde kwa sababu alimfunga Azam?
Si ndio ile mechi Yanga alibebwa baada ya Kagera kudhulumiwa goli?
Wacha ushabiki maandazi.
 
Vipi Team turudiane tuanze kurudiana?
😂😂
Mnamfunga Azam mnaanza kusema mrudiane na Yanga.

Mliwaza kuomba kurudiana na Yanga kila kona mnapiga pambio leo kimewalamba😂

Nawaza sana nilisema kwa ule mpira wa siku ile wa Azam..wachezaji wachuñguzwe na viongozi pia wa Azam wachunguzwe na TAKUKURU.

#Sisi Kesho tunaanza kukanyaga Ardhi ya Kaanani.😂😂
Akiwemo FEI achunguzwe haiwezekani hajikoseshe penat kwai makusudi na acheze chini ya kiwango! 😂😂😂
 
Picha lilianzia Simba kupoka ushindi wa Tabora United maana goli la kwanza la Simba mechi ile lilitokana na kona iliyopatikana baada ya mshika kibendera kukaushia offside ya Simba, hata pale wachezaji wa Tabora United waliponyoosha mikono juu na kulalamika. Goli la pill la Simba lilitokana na mpira aliouokota nyavuni Ayub Lakred maana kama mpira ungewekwa kati baada ya Tabora kuitungua Simba goli la kideo aina ya Ki Aziz, goli ambalo mshika kibendera bila aibu aliwanyonga tena Tabora United, Ayub asingerusha mpira mbele na simba wasingefunga goli la pili. Huu uonevu wa Simba kwa timu ndogo haupaswi kuachwa kuendelea. Mechi ya simba vs Tabora United ilipaswa kuisha Tabora United 1 simba 0. Hili la magoli batili ya Simba vs Tabora United nimeyapata kipyenga cha mwisho, si yangu. Yule mshika kibendera aliewanyonga Tabora United Simba mpeni chake aliwabeba kupita inavyotakiwa, yule anaharibu soka letu akachezeshe ligi ya wanawake.

Mechi ya Azam vs Simba iliuzwa hiyo mjadala hakuna, Simba hii mbovu haina msuli wa kuifunga Azam. Shame on Azam na mla ugali sukari Fei wa mkunazini

Leo Kagera vs Simba tumeona Simba mdebwedo katika ubora wao. Mzee Chirwa kawatungua Simba.

Leo Azam basi washinde goli nyingi nafasi ya pili bado wanayo Simba bado mbovu hata mechi zijazo timu zikiikamia Simba hii mbovu hazifungwi, Kagera wameweza, dawa ni kuitungua Simba kwa set pieces!!!
 
Mkuu umeandika Ukweli Mtupu
 
mechi nyingi bongo zinauzwa ukitaka kugundua hilo subiri raundi ya mwisho uone timu zinavyobebana ili zisishuke daraja au kucheza playoffs
Zinauzwa sana Mkuu ndio maan kuna mwanangu hua yeye full kubetia game za Bongo na hua ana vuta mpunga sana huenda hua anapata maelekezo sehemu
 
Back
Top Bottom