THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Umekua wakanza tulia wakukute😁😁😁Ngapi HUKO? Soma HIO
Sijaangalia gemu kweli ngapi ngapi kwani?Umekua wakanza tulia wakukute😁😁😁
Akiwemo FEI achunguzwe haiwezekani hajikoseshe penat kwai makusudi na acheze chini ya kiwango! 😂😂😂Vipi Team turudiane tuanze kurudiana?
😂😂
Mnamfunga Azam mnaanza kusema mrudiane na Yanga.
Mliwaza kuomba kurudiana na Yanga kila kona mnapiga pambio leo kimewalamba😂
Nawaza sana nilisema kwa ule mpira wa siku ile wa Azam..wachezaji wachuñguzwe na viongozi pia wa Azam wachunguzwe na TAKUKURU.
#Sisi Kesho tunaanza kukanyaga Ardhi ya Kaanani.😂😂
Itakuwa Simba kashinda kwa Mbinde! Kwa hisani ya Shaffi Dauda!Sijaangalia gemu kweli ngapi ngapi kwani?
Unamaanisha katoka draw na masuruali yake ya Jean's?Kagera wameweza, dawa ni kuitungua Simba kwa set pieces!!!
Kashinda na njaa itakuaItakuwa Simba kashinda kwa Mbinde! Kwa hisani ya Shaffi Dauda!
Mkuu umeandika Ukweli MtupuPicha lilianzia Simba kupoka ushindi wa Tabora United maana goli la kwanza la Simba mechi ile lilitokana na kona iliyopatikana baada ya mshika kibendera kukaushia offside ya Simba, hata pale wachezaji wa Tabora United waliponyoosha mikono juu na kulalamika. Goli la pill la Simba lilitokana na mpira aliouokota nyavuni Ayub Lakred maana kama mpira ungewekwa kati baada ya Tabora kuitungua Simba goli la kideo aina ya Ki Aziz, goli ambalo mshika kibendera bila aibu aliwanyonga tena Tabora United, Ayub asingerusha mpira mbele na simba wasingefunga goli la pili. Huu uonevu wa Simba kwa timu ndogo haupaswi kuachwa kuendelea. Mechi ya simba vs Tabora United ilipaswa kuisha Tabora United 1 simba 0. Hili la magoli batili ya Simba vs Tabora United nimeyapata kipyenga cha mwisho, si yangu. Yule mshika kibendera aliewanyonga Tabora United Simba mpeni chake aliwabeba kupita inavyotakiwa, yule anaharibu soka letu akachezeshe ligi ya wanawake.
Mechi ya Azam vs Simba iliuzwa hiyo mjadala hakuna, Simba hii mbovu haina msuli wa kuifunga Azam. Shame on Azam na mla ugali sukari Fei wa mkunazini
Leo Kagera vs Simba tumeona Simba mdebwedo katika ubora wao. Mzee Chirwa kawatungua Simba.
Leo Azam basi washinde goli nyingi nafasi ya pili bado wanayo Simba bado mbovu hata mechi zijazo timu zikiikamia Simba hii mbovu hazifungwi, Kagera wameweza, dawa ni kuitungua Simba kwa set pieces!!!
Zinauzwa sana Mkuu ndio maan kuna mwanangu hua yeye full kubetia game za Bongo na hua ana vuta mpunga sana huenda hua anapata maelekezo sehemumechi nyingi bongo zinauzwa ukitaka kugundua hilo subiri raundi ya mwisho uone timu zinavyobebana ili zisishuke daraja au kucheza playoffs
Kwa hiyo ninyi mlimuuzia Azam awapige
Eee Ili mtu sogeelee sogeelee na nyie😂😂Kwa hiyo ninyi mlimuuzia Azam awapige
Usinitoe kwenye reliGoli la Azam lilikuwa offside! pale hatuhesabu kufungwa labda ungesema Ihefu