kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
Naona graph ya richi mavoko tokea ajiunge wasafi inazid kupanda day after day. Kwa wale tuliokuwa tunalalamika na kumponda kwa nn mavoko kajishusha kwnd kusimamiwa kazi na lebel ya wcb, kwa kweli tunaanza kuumbuka maana huyu mavoko siyo yule mavoko wa kabla ya kusajiliwa wasafi, maana alikuwa kama kaanza kupotea hivi na asingefanya uamuzi ule nahisi sasa hivi angekuwa kwny kundi moja na kina chid benz kutokana na stress.
Ukimwangalia mavoko now unaona kabisa ana amani ya moyo maana kila anachokigusa asa hiv kinageuka dhahabu. Naomba mungu aendelee kukusimamia ili uendelee kutufunga midomo tuliokuwa tunakuponda kipindi unajiunga wasafi.