Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Injili ya sasa ni tofauti kabisa na zamani makuhani walitufundisha neno la Mungu lenye kutujenga kiroho zaidi na kutukumbusha tuache dhambi tuishi maisha ya kumpendeza Mungu
Injili hii kwa sasa imekuwa ni nadra sana kuipata Kuna kitu sikielewi kwa sasa hii ni jumapili 6 tangu nimerudi tena kanisani kufanya ibada nasikia tu mahubiri toa ubarikiwe toa ubarikiwe sadaka Nazo ni nyingi sana biblia inamafundisho mengi sana sikutegemea wiki sita zote somo liwe moja la utoaji na ata sasa tunaelekea kwenye sikukuu ya mavuno hivyo nategemea mafundisho wiki zijazo yatakuwa ni haya pia kanisa nalosali ni kitaasisi ila naanza kuhisi Kuna uwezekano wa serikali wameanza kuchukua Kodi kwa siri makanisani hivyo inawalazimu wachungaji kufundisha zaidi somo la utoaji