matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Kabla chochote hakijafanyika wanaambiana.
Hapa Iran anadai US anaomba Iran ijifanye kama inapigwa ili Israel ionekane iko vizuri au imejibu.
Dunia ilipofika. Wawakilishi wa Iran, Russia, Ukraine, Israel, US na Ulaya wanaweza kukaa kikao sehemu mafichoni huku wanatrigger mambo duniani na media zao wanavyotaka.
Ushauri: Kabla hujalaumu au kuchukua upande tulia. Ikiwezekaba tukio lolote likaushie angalau ipite wiki upate uwanja mpana wa kujadili mengine ni tunapangwa.
Ni hayo tu.
