matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Hiyo janja ya Iran, uongo huo wa Iran, yaani hapo Iran anajua kabisa Myahudi anaenda angamiza kizazi chao, wataangamizwa vibaya sanaaaa na Iran anajua pia USA and allies wanawanyemelea sana, sasa sbb kubwa imepatikana ya kuipiga Iran, Iran italia sana, watulie wasubirie kipigo na hofu kubwa kwa Iran ni baada ya kupiga mabomu na drones jumla 385 na zilitunguliwa zoteee na 7 tu zilifika Israel na kukosa targets, yaani hapo wanajua kabisa wao hawana mfumo mzuri wa ulinzi wa anga, watafumuliwa vibaya, sasa wanaanza kulia lia kabla ya kipigo
Tusubiri tuoneHiyo janja ya Iran, uongo huo wa Iran, yaani hapo Iran anajua kabisa Myahudi anaenda angamiza kizazi chao, wataangamizwa vibaya sanaaaa na Iran anajua pia USA and allies wanawanyemelea sana...
Huwezi kujua yote.Huyo mshia nilikuwa simjui.
FaizaFoxy msaada hapa.
Hakuna dini ya kishia. Neno "shia" lipo ndani ya Qur'an maana yake ni kikundi.Taifa la Irani linaongozwa kwa utaratibu wa dini ya KISHIA. Muasisi wa USHIA alikuwa MYAHUDI. Alikuwa anaitwa Abdullah Ibn Sabai.
Utapata picha hapo, juu ya kadhia hii.
Mkuu siyo hilo tu!Taifa la Irani linaongozwa kwa utaratibu wa dini ya KISHIA. Muasisi wa USHIA alikuwa MYAHUDI. Alikuwa anaitwa Abdullah Ibn Sabai.
Utapata picha hapo, juu ya kadhia hii.
Hakuna dini ya kishia. Neno "shia" lipo ndani ya Qur'an maana yake ni kikundi.
Dini ni Uislam tu na Qur'an ni moja.
Dini ni Uislam tu na Qur'an ni moja.
Zile grand lodge zipo dunia nzima ubadilisha TU majina lakini maana ni ile ile kwa China ujiita red secret societyMimi nilisema mimi hawa viongozi wa dunia sio watu ni Mijusi watu, ila Mods hawataki
Mashia ni mayahudiAllah aliposema ya kuwa hakika dini mbele yake ni Uislamu, na katika surat al Maidah ametilia mkazo, inamaanisha ya kuwa zipo dini nyingine nyingi lakini si sahihi na USHIA ni miongoni mwa dini hizo potofu.
Kuwa Makin na sourse zako mkuuView attachment 2965440
Kabla chochote hakijafanyika wanaambiana.
Hapa Iran anadai US anaomba Iran ijifanye kama inapigwa ili Israel ionekane iko vizuri au imejibu.
Dunia ilipofika. Wawakilishi wa Iran, Russia, Ukraine, Israel, US na Ulaya wanaweza kukaa kikao sehemu mafichoni huku wanatrigger mambo duniani na media zao wanavyotaka.
Ushauri: Kabla hujalaumu au kuchukua upande tulia. Ikiwezekaba tukio lolote likaushie angalau ipite wiki upate uwanja mpana wa kujadili mengine ni tunapangwa.
Ni hayo tu.
Hii ni sahihi. Ukiifuatilia trend utagundua maelezo yako yanaukweliUnaweza ukayaelewa zaidi haya mambo ukisoma sana mambo ya consiprancy utauelewa ulimwengu.
Wakuu wa Dunia wote sio maadui kwani mungu wao ni mmoja na wote Wana ajenda moja.
Hata wakuu wa magaidi wote ni wanachama.
Wanatuchezea TU drama wanafanya kitu inaitwa chao order chao.
Kuchafua Dunia kuvuruga Dunia ili kupitisha ajenda moja