futa apps zote za ngono magrupu bila kusahau telegram , usikae mwenyewe mda mrefu, amka piga mazoezi,
sababu ya kwa mwanaume kutokujiamini ni kupungua kwa hormone ya testosterone hivyo acha kabisa kupiga nyeto ndani ya siku 7 inarudi kwa kasi na unakuwa kama simba.
Ingia youtube jifunze kuhusu semen retention, no fap, energy transmutation.