Naanza kuona Umuhimu wa kuwa Mwanahisa baada ya Mwanachama.
Mwanahisa atimuliwi hovyo. Ukitakata kumtimua mwanahisa tangaza dau la kununua HISA zake, naye pia lazima aridhie.
Sasa Hiwe Hivi. Tuifanyie Valuation Yanga ….hata iwe nominal(Isiyo fananana na thamani halisi ya Yanga),Tugawe shares(Hisa) sawa kwa kila Mwanachama, tuiweka kampuni Soko la Hisa,baada ya Mwezi tutajua thamani halisi ya Yanga na Anayetakata kununua Hisa atanunua kutoka kwa Mwanachama Mmoja Mmoja.
Watani zangu Chukueni hii Mkaifanyie kazi.