unawezaje kuwa mwanaume mwenye roho ngumu hata wanapokatisha wasichana wazuri na warembo mbele yako?
huu umekuwa mtihani mkubwa kwangu hasa ukizingatia kuwa kwa sasa wasichana warembo wamejaa kila kona ukikatisha hawa.
huu urembo unaleta shidaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,ni bora zamani mambo ya urembo hayakuwa kipaumbele na wasichana wazuri kwa asili ni wachache, ungeweza zamani kukaa hata miezi kadhaa bila kuona msichana wa kukutia kiwewe. SAIZI KILA KONA, UKIGEUKA KULIA WAPO WAREMBO HASWAA, KUSHOTO PIA, MBELE NA NYUMA.
NANUNUA MAWANI MEUSIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII NIVAE NISIWAONE KABISAAA WANANITIA MAJARIBUNI BURE