Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,000
- 5,606
Hata kama ni haraka unawezaje kuandika Press release ya ajabu namna ile tena inatoka Ofisi kuu ya Nchi , Nanukuu baadhi ya maneno Para ya Kwanza, " Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe.Nurdin Hassan Babu kufuatia kifo cha aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa huo Dkt. Tixon Nzunda kufuatia ajali ya gari"
Sasa najiuliza hiyokufuatia kufuatia ndio nini? Hivi angesema kilichotokea kwa ajali ya gari then akataja jina eneo ingekua vipi? ama ndio uandishi wa kisasa? naomba povu kwa wanahabari tu na waandika content kama mimi. Naanza kuwaza weledi wa huyo bidada na team yake ndiomaana hata marehemu aliteuliwa last time.