Naanza maisha ya ubachelor alone please you help me

2c2

Member
Joined
Nov 5, 2009
Posts
98
Reaction score
5
naanza maisha ya ubachelor wadau naomba msaada wa vitu muhimu ninavyotakiwa kuwa navyo chumba nimeshapata rum(master) na sebule nna kitanda teyari 5 kwa 6
 
Nunua Mwiko
Nunua Sufuria
Nunua Vijiko
Nunua Friji
Nunua Uma
Nunua Visu

Ngoja niendelee kukumbuka vingine halafu nitarudi
 
Maisha ya ubachela hayana ushauri wa ndani sana zaidi ya kukutabanaisha uwe mwangalifu na nyendo zako hasa ujali ratiba na kujiwekea akiba ya siku za usoni.
Kama unataka ushauri wa home appliances hapo kuna wale wa interior designing watakupa A.B.B za kutekeleza hilo.

Tafuta mwenza uoe (muda muafaka ukifika) hapo unakuwa na degree zoote za kushauriwa how to care the both (you and another you)
 
We wa kike au wa kiume?
 
kupika sjui the finest ,paw hawa home appliances wanajjishughulisha na nini na wanapatikana wapi
 
afrodenzi Umri between 20-25 for the purpose naomba nisiwe specific
 
naanza maisha ya ubachelor wadau naomba msaada wa vitu muhimu ninavyotakiwa kuwa navyo chumba nimeshapata rum(master) na sebule nna kitanda teyari 5 kwa 6

Nunua Godoro, kapeti, stuli 2 jiko la mchina, sahani 3, bakuri 3, vikombe 2, sufuria 3, ndoo za maji 4 ndogo 2, dodoki, redio ndogo ......
 
Kwani sasa hivi unaishije...nunua kila kitu ambacho unakitumia sasa hivi. Ila avoid kujaza chumba kwa appliances ambazo huzihitaji au huzitumii mara kwa mara. Buy when need arises.
 
Nunua Godoro, kapeti, stuli 2 jiko la mchina, sahani 3, bakuri 3, vikombe 2, sufuria 3, ndoo za maji 4 ndogo 2, dodoki, redio ndogo ......

huu mpangilio umenichekesha kweli khaa...hapo labda angenunua kabisa la gas nadhani mfuko utamruhusu, kuliko kununua hilo najua later atataka kubadili, so bora anunua moja kwa moja.
 
DENA NA FIDEL80
Wamekupa..
Tf atakusaidia jikoni
Na dhani matatizo yameisha..
 
Nadhani suala la nini unahitaji kununua unalifahamu zaidi wewe mwenyewe kutokana na vitu unavyopenda kutumia. Na km Dena alivyosema huwa iinakuja automatucally
 
DENA NA FIDEL80
Wamekupa..
Tf atakusaidia jikoni
Na dhani matatizo yameisha..

Naona umemsisitizia kuhusu condom si unajua ukiwa na geto washikaji lazima wanakuja kuazima ili wamegee lazima aweke condom za kutosha kama box zima hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…