Naanza maisha ya ubachelor alone please you help me

huu mpangilio umenichekesha kweli khaa...hapo labda angenunua kabisa la gas nadhani mfuko utamruhusu, kuliko kununua hilo najua later atataka kubadili, so bora anunua moja kwa moja.

Unajua Nyamayao jiko la mchina linasave sana kwa sasa jiko la gesi bei ipo juu sana hata weza maana ndo kwanza anaanza maisha hapo akinunua na mafuta ya taa lt 5 yatamsukuma sana jiko la mchina ni 15,000 wkt hilo la gesi la plate moja ni 98,000/=
 
Kuwa mwangalifu na Usafi pia.Ishi vizuri na majirani zako,kama Familia.Hata mimi ni Bachelor,mwanzoni ilikuwa ngumu sana kwani nilianza maisha hayo nikiwa na miaka 21 tena nje ya Tanzania.Lakini sasa nimebobea ha ha ha ha.

Cha msingi,jali afya yako pia na usisahau kuzingatia Ibada

Hakikisha kuwa kuishi kwako peke yako kusikulteee ubinafsi,those people around you i mean neighbors wachukulie kama family
With living alone u have to develop a routine and stick to it as much as possible
If you do all your washing up and cleaning over the weekend, there isn't much pressure over the week
Plan out your wardrobe for the whole week and lay everything out within easy reach, that way u don't mess up your room looking for stuff when u are rushing to get ready in the mornings.
Experiment with light meals during the week, not necessarily microwave meals but easy to prepare stuff. . . its easier to manage plus u can look forward to a elaborate meals over the weekend.

Here is a tip, Sundays reserve for you time! Just allow yourself a long lie-in and just chill out. All your housework and personal grooming should done on Saturdays if Possible to get them out of the way and do your socializing on Fridays and Saturday nights if possible but be carefully coz kuna hatari hapa...pia inategemea na hobbies zako ( Sometimes you might have friends popping over during the week though) So Sundays are for chilling out, catching up on some much needed sleep and the bits and pieces u never get around to doing.

The trick is to get into a routine that will help ease the pressure

Utazoea tu,mimi nimeshazoea kabisa.Huo ndio mwanzo wa maturity na kuwa independent.Inakujenga
 
Unajua Nyamayao jiko la mchina linasave sana kwa sasa jiko la gesi bei ipo juu sana hata weza maana ndo kwanza anaanza maisha hapo akinunua na mafuta ya taa lt 5 yatamsukuma sana jiko la mchina ni 15,000 wkt hilo la gesi la plate moja ni 98,000/=

Fidel mbona hayo mafuta yapo juu tu? ndio coz nikasema kaam mfuko unamruhusu.
 
Unajua ndiyo naangalia comment za watu,nimecheka sana.Jf ni burudani sana.Wacha nitoke kidogo.Dogo komaa na hawa wakuu hapa.wana uzoefu ,JF huwezi toka mikono mitupu
 
Naona umemsisitizia kuhusu condom si unajua ukiwa na geto washikaji lazima wanakuja kuazima ili wamegee lazima aweke condom za kutosha kama box zima hivi.

Kama anataka
kuendelea kuwa bachelor
na hataki watoto au magonjwa
Mie naona aende shopping ya
Condoms kwanza..
 
Unajua Nyamayao jiko la mchina linasave sana kwa sasa jiko la gesi bei ipo juu sana hata weza maana ndo kwanza anaanza maisha hapo akinunua na mafuta ya taa lt 5 yatamsukuma sana jiko la mchina ni 15,000 wkt hilo la gesi la plate moja ni 98,000/=
Hahahahahahahah
daahh
Hamna siku niliyocheka
Kama leo
umenipa raha sana
 
Fidel mbona hayo mafuta yapo juu tu? ndio coz nikasema kaam mfuko unamruhusu.

Sasa huyu jamaa anaanza maisha lazima ajipange kwanza hilo la gesi wkt tayari amesha jipanga.

Kwa sasa anaweza kuanzia hata kula kwa mama ntilie
 
Kama anataka
kuendelea kuwa bachelor
na hataki watoto au magonjwa
Mie naona aende shopping ya
Condoms kwanza..

Yeah kweli Afro lakini kwa ss wanaume ukiwa na geto lazima washikaji watakuwa wanakuja kuazima kufanyia mazungumzo na watoto wa geti au walokole ambao wanaogopa kwenda guest house vile vile si unajua kwenda guest tena uchumi unakaba inabidi ubanane na mshikaji akuazime geto yeye anaenda uhamishoni kidogo.
 
vitu vya kununua inatokana na hela uliyonayo kwa sasa labda ungesema nina sh, kadhaa ninunue kitu gani ndio ingekuwa rahisi kukushauri zaidi
 

Hahahah lol
sikujua na we unautani
kama Klorokwin daah
JF kuna raha kwa kweli..
 
Ha ha ha,ninyi watu.Fidel & Afrodenzi...acheni bana,nimecheka sana

Dogo usikubali kwenda Exile kwa sababu hiyo,make sure washkaji wanaheshimu gheto lako.
 


Kha Fidel kumbe ndo zako eehhh
 
Ongeza na kibao cha kukunia nazi bila kusahau gunia moja la mkaa :msela:

Mabachela hawatumii nazi wala mkaa badala yake hutumia mafuta badala ya nazi, vilevile wanatumia gesi au jiko la mchina (la mafuta ya taa) wanaojiweza kidogo wanatumia umeme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…