Naanza maisha ya ubachelor alone please you help me


Hii post imenichekesha kupita kiasi mpaka mkoloni katoka kuja kuona nacheka nini
 
bado nipo online mkuu nannasoma kwa makini sana pembeni ninakaratasi ya kunakili points muhimu
pamoja sana mkuu. usisahau na silaha za kujihami kama nyundo, panga nakazalika. si unajua vibaka wa bongo hawana nizamu.
 
hapa tunajalib kumpa kinga kijana. kuna jirani yangu majuzi wamemtoa jipu la kwapa halaf jipu kila usiku linaflash kama nokia ya tochi halaf kuna sauti ya mbuzi inatokea kimiujiza kabisa. binadam wabaya jamani!
du mbona utanifanya nihairishe ila nyumba ipo karibu na church
 
Sijamaliza mama si unaona hizo nukta maanake bado list inaendelea pazia, kapeti, chanuo, kioo, vijiko, upao, ungo, ubanio, magazeti ya rangi kwa ajili ya kubandika ukutani......

hahahahahaha
Fidel watu tunatoka mbali
unaweka kalenda zile kubwa za mwaka mmoja zaidi ya 6
kisa picha, rangi
 
C2C fanya yote dogo,
lakini hapo kwenye kondomu usisahau hata chembe,
jaza mapakti hayo ghetoo!
VINGINE VYOTE WADAU WATAJE, LAKINI KONDOM,
PIGA UA, STOCK ISIISHE!!!!!!!!!!!
nitajitahidi sana zspungue
 
Nakuogopa bana wewe mchawi mi sitaki kurogwa

Kama unamwoga huyo una alternative ya kwenda kwa Bacha pia


hahahahahaha
Fidel watu tunatoka mbali
unaweka kalenda zile kubwa za mwaka mmoja zaidi ya 6
kisa picha, rangi

Hahahahaha Yeah au ya Jesus si unajua tena.

Inabidi anunue na yale maandishi kuwa mgeni karibu nyumbani ulicho kikuta humu kiache humu.
 
Gesti ya 10,000 Tshs au? Fidel ndo maana unakutana na wahudumu wanakuibia simu wanaweka kwenye c****

Unajua D.A tunatofautiana kipato mm siwezi nikampeleka mpenzi kwenye Guest zaidi ya Tsh.5000/=
 
hahahahahaha
Fidel watu tunatoka mbali
unaweka kalenda zile kubwa za mwaka mmoja zaidi ya 6
kisa picha, rangi

Alafu asisahau kununua magazeti ya kupima ili akate picha nzuri zakubandika ukutani.
 
Unajua D.A tunatofautiana kipato mm siwezi nikampeleka mpenzi kwenye Guest zaidi ya Tsh.5000/=
Fidel halafu huyu mshikaji sijamuuliza kama hiyo nyumba aliyopata kama bafu na choo viko nje au ni self contained
 
Upo wapi nikuletee? Kuna mahala zinatolewa bure. Nikipitia mitaa hiyo nitakuchukulia hata ukitaka box kumi.
 
Upo wapi nikuletee? Kuna mahala zinatolewa bure. Nikipitia mitaa hiyo nitakuchukulia hata ukitaka box kumi.

Unazungumzia condom za msaada kutoka kwa watu wa Marekani?

Hizi ukitumia unanukia siku 3 hata uoge vp.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…