Naanza mwaka, namna hii naombeni ushauri kidogo!

Freyzem

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
10,120
Reaction score
24,667

Toyota Rav4

Ford
Kati ya hizi gari mbili ni ipi nzuri, kwa wenye uzoefu na haya magari hebu nisaidieni maana soon nahitaji mzigo mmoja kati ya hiyo miwili!
Halafu je niagize moja kwa moja kutoka nje au nichukulie show room za hapa Bongo..
 
if i were you,ningeichukua ya juu:it is stylish,good looking and classic!
 
Nini wewe usilete siasa huku bhna, wewe toa ushauri ipi ipo poa..npe uzoefu kama unao...!!
Ya kule ni kule mkuu...
sina utaalamu,ila nimeshauri kwa kigezo cha mwenekano!
Btw,hongera,mkuu!
 
if i were you,ningeichukua ya juu:it is stylish,good looking and classic!
Okay, nashukuru kwa mchango wako!
Tukiachana na muonekano maana pia nao unachangis uzuri, nungependa pia kujua zaidi mambo mengine ambayo siyajui kuhusu hizi ndinga, naamini wenye uzoefu watakuja!!
sina utaalamu,ila nimeshauri kwa kigezo cha mwenekano!
Btw,hongera,mkuu!
 
Npe uzoefu zaidi basi mkuu, rav4 au 4d..
Sina uzoefu sana na hizi ila zimenivutia kwa muda mrefu model hii..
Sina uzoefu ila no gari nayo tegemea kulisukuma soon mkuu we chukua ya kasha kuwa mengi mengi haina shida wanaleta tu
 
Mm pia nahitaj Rava4 new model...
Hv ni bei gan? Kwa show room za hapa bongo.
Samahan kwa kuingilia uzi wako mkuu,
 
Mm pia nahitaj Rava4 new model...
Hv ni bei gan? Kwa show room za hapa bongo.
Samahan kwa kuingilia uzi wako mkuu,
Achana na showroom mkuu nichek nikuagizie toka japan utasave robo ya pesa ambayo ungelipia showroom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…