Naanzaje kwa sh 1,000,000?

Naanzaje kwa sh 1,000,000?

MANYUKA the junior

New Member
Joined
Dec 19, 2011
Posts
4
Reaction score
1
Ndugu wadau naomba ushaur wenu,nna mtaj wa sh 1ml nataka kuanzisha biashara ,je n biashara gan inanfaa?nakwamba itawah kunpatia faida kubwa kwa wakat mfupi?ASANTEN
 
Ndugu wadau naomba ushaur wenu,nna mtaj wa sh 1ml nataka kuanzisha biashara ,je n biashara gan inanfaa?nakwamba itawah kunpatia faida kubwa kwa wakat mfupi?ASANTEN

Wee ni mtu wa jinsia gani? ushauri wangu utategemea sana na jinsia yako
 
mie naona kitu cha kwanza kabisa ni wewe mwenyewe kijiona kama wewe ni mtaji number MOJA

Kingine ni kuwa kuna vitu 100 unavyoweza kuanza na kufanya na huo mtaji ulionao
 
Back
Top Bottom