Naanzisha wimbo karibuni tuumalizie

Naanzisha wimbo karibuni tuumalizie

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
8,586
Reaction score
11,227
Mama wa kambooo
Mbona wanitesaaa
Kaaa pekeakooo
Koma kunipigaaaa
Mbali na weweeee
Wembe wa kuchaaa
Chakula kitamuuu...

Endelea............

images (10).jpeg
 
Mama wa kambooo
Mbona wanitesaaa
Kaaa pekeakooo
Koma kunipigaaaa
Mbali na weweeee
Wembe wa kuchaaa
Chakula kitamuuu...

Endelea............

View attachment 3119768

°🎼🎵🎶Chakula kitamuuu
°Lakini unatulaza kwenye kunguniii
°Baba akirudi unatusingizia makosa
°Makosa ambayo hatukuyatenda
°Eeh mama wa kamboo utuhurumie
Ooh dunia!
Ooh dunia!
°
Mama umetuachaa
°Tungali tunakuhitaji
°Mbona hukutakaa
°Tuondoke pamojaaa 🎼🎵🎶
 
°🎼🎵🎶Chakula kitamuuu
°Lakini unatulaza kwenye kunguniii
°Baba akirudi unatusingizia makosa
°Makosa ambayo hatukuyatenda
°Eeh mama wa kamboo utuhurumie
Ooh dunia!
Ooh dunia!
°
Mama umetuachaa
°Tungali tunakuhitaji
°Mbona hukutakaa
°Tuondoke pamojaaa 🎼🎵🎶
Umeuaaaa
 
Mama wa kambooo
Mbona wanitesaaa
Kaaa pekeakooo
Koma kunipigaaaa
Mbali na weweeee
Wembe wa kuchaaa
Chakula kitamuuu...

Endelea............

View attachment 3119768
Ninazungumza lakini yeye anajifanya hasikii, maneno yangu Mawazo yake yote kwangu ni hasi Na sauti yangu ni kero kubwa kwake

Mama yangu huyu hutoa matangazo yake mwenyewe, Bila tafakuri, Anafikiri yeye yuko sawa kila wakati, Na hajali kama maneno yake yataleta shida

Visingizio vyake viko tayari kila wakati, Kutetea matendo yake ambayo hayako thabiti. Anasema eti mimi simpendi na ninamzungumzia mabaya tuu

Lakini najua ukweli moyoni mwangu, Matendo yake yana walakini mkubwa. Laiti angesikiliza na kuelewa, Kwamba mimi pia nina sauti na msimamo na ninaweza kumshauri pia

Kwa maana upendo wa mama unapaswa kuwa wa kweli, Na sio tu kujisifu kwa watu.
Kwa mama yangu, nataka kusema, Tafadhali nisikilize na ufungue njia. La sivyo....!
 
Back
Top Bottom