mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Mama wa kambooo
Mbona wanitesaaa
Kaaa pekeakooo
Koma kunipigaaaa
Mbali na weweeee
Wembe wa kuchaaa
Chakula kitamuuu...
Endelea............
View attachment 3119768
Siyo wote tunafanya kazi viwandani bro!
Ahsante mkuuuSiyo wote tunafanya kazi viwandani bro!
Take it easy!
Umeuaaaa°🎼🎵🎶Chakula kitamuuu
°Lakini unatulaza kwenye kunguniii
°Baba akirudi unatusingizia makosa
°Makosa ambayo hatukuyatenda
°Eeh mama wa kamboo utuhurumie
Ooh dunia!
Ooh dunia!
°Mama umetuachaa
°Tungali tunakuhitaji
°Mbona hukutakaa
°Tuondoke pamojaaa 🎼🎵🎶
Ninazungumza lakini yeye anajifanya hasikii, maneno yangu Mawazo yake yote kwangu ni hasi Na sauti yangu ni kero kubwa kwakeMama wa kambooo
Mbona wanitesaaa
Kaaa pekeakooo
Koma kunipigaaaa
Mbali na weweeee
Wembe wa kuchaaa
Chakula kitamuuu...
Endelea............
View attachment 3119768