Kingdom123
Member
- Aug 13, 2020
- 25
- 49
Lini ma wapi?? Vitambulisho tunavyo mzee. Sema lingine.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Chadema mlishawishiana msijiandikishe kwenye dafatari la wapiga kura sasa sijui Lissu atashindaje
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Chadema mlishawishiana msijiandikishe kwenye dafatari la wapiga kura sasa sijui Lissu atashindaje
Kwani Kuna kujiandikisha mala ngapi? Wengine walijiandikisha mwaka 2015, wengine mwaka Jana wengine mwaka huu kwani Kila mtu ni mtoto mpaka ajiandikishe mwaka huu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Chadema mlishawishiana msijiandikishe kwenye dafatari la wapiga kura sasa sijui Lissu atashindaje
Mimi sina kadi.Kwa mwenendo ulivokuwa hapo nyuma wa siasa katika nchi yetu, sikuona kabisa umuhimu wa kwenda kupiga kura katika uchaguzi ujao. Nilikata tamaa kabisa ya kura yangu ya mabadiliko kuheshimiwa...
Ni wewe pekaako mkuu wenzio kina tindo walikuwa wanahamasishana hawaendi mpaka ikafika hatua wakakejeli viongozi wao waliotoa wito wa kwenda kujiandikisha.
Hongera sana kumbuka kupiga kura ya mabadiliko!Kwa mwenendo ulivokuwa hapo nyuma wa siasa katika nchi yetu, sikuona kabisa umuhimu wa kwenda kupiga kura katika uchaguzi ujao. Nilikata tamaa kabisa ya kura yangu ya mabadiliko kuheshimiwa.
Ila sasa nabadili gia, natamani hiyo siku ifike haraka nikapige kura tena kuyatafuta maendeleo ya kweli ya Taifa langu.
Kama nawe ulikuwa kama mimi hapo mwanzo, nakusihi siku hiyo hata kama ulijiandikisha mbali safiri nenda kapige kura. Kumbe inawezekana tena.
Ahsanteni sana Watanzania.