Mavindozii JF-Expert Member Joined Oct 20, 2012 Posts 2,111 Reaction score 2,781 Feb 16, 2017 #1 Hello JF .Nina Landcruaser Prado TX diesel engine 3000cc nilikuwa nataka kuibadilisha na Landcruaser hardtop. Kama kuna mtu anaye naomba tuwasiliane please .
Hello JF .Nina Landcruaser Prado TX diesel engine 3000cc nilikuwa nataka kuibadilisha na Landcruaser hardtop. Kama kuna mtu anaye naomba tuwasiliane please .
Nichumu Nibebike JF-Expert Member Joined Aug 28, 2016 Posts 8,658 Reaction score 15,793 Feb 16, 2017 #2 Nimejaribu kuoanisha kichwa chako na mada yako lakini naona havioani... Nahisi hii itakuwa ni ndoa ya jinsia moja...
Nimejaribu kuoanisha kichwa chako na mada yako lakini naona havioani... Nahisi hii itakuwa ni ndoa ya jinsia moja...