Nabadilishaje profile name yangu??

Asili100

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
240
Reaction score
181
Naombeni msaada wana jf, nataka kubadili jina langu la uanachama hapa jf, nafanyeje?? Naombeni steps za kufanya
 
Katika kuendeleza harakati zangu za kutumia majina sahihi hapa jf, hata mimi naomba msaada wa hili nami nitumie jina langu halisi ambalo ni MARTIN PETER
 
Naombeni msaada wana jf, nataka kubadili jina langu la uanachama hapa jf, nafanyeje?? Naombeni steps za kufanya

Hakuna jinsi unaweza fanya wewe(soma sheria za jf), wasiliana na mods kupitia ile email yako then suggest jina watakubadilishia pasipo shaka!

unataka uitwe na ni vile? just curious!
 
Katika kuendeleza harakati zangu za kutumia majina sahihi hapa jf, hata mimi naomba msaada wa hili nami nitumie jina langu halisi ambalo ni MARTIN PETER

Hapo ni case ya "verified user", wasiliana na uongozi wa JF, ni ishu ndogo sana hiyo!
 
Asanteni kwa msaada, kumbe ni hadi kwa admins
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…