Kassim Kitta
New Member
- Jun 12, 2024
- 2
- 5
Nina viwanja Chanika na Mbezi Beach Salasala. Kiwanja cha Mbezi beach kina thamani ya ml 30, na cha Chanika thamani ya 18m. Nataka gari aina ya rumion. Gari iwe imesimama. Nampa mtu kimoja kati ya viwanja hivyo anipe gari