Kassim Kitta
New Member
- Jun 12, 2024
- 2
- 5
Chukua Toyota crownChanika thamani ya 18m
Namba ganChukua Toyota crown
Salasala ni mbezi beach??
Ok! Wanunuzi watakuja
DL kali sanaNamba gan
Kiwanja kinafaa kwa sheli kina Sqm 600 ila Nyuma yake unaweza kupanunua kuongeza ukubwa wa kiwanja chakoViwanja vina ukubwa gani?
Huko site wqkati wa unenzi utaenda kwa miguu utawakoromeaje mafundi wakiborongaSema nini..kimfaacho mtu chake..mimi ningeuza gari ili ninunue ardhi na si vinginevyo
Swali anaulizwa mtoa mada unajibu wewe, anzisha Uzi wakoKiwanja kinafaa kwa sheli kina Sqm 600 ila Nyuma yake unaweza kupanunua kuongeza ukubwa wa kiwanja chako
Kwa mtu mwenye akili ya biashara sio eneo la kuacha Lami inapita siku sio nyingi hapo na kiwanja kinatazama barabara kubwa ambayo lami inapita
Nina viwanja Chanika na Mbezi Beach Salasala. Kiwanja cha Mbezi beach kina thamani ya ml 30, na cha Chanika thamani ya 18m. Nataka gari aina ya rumion. Gari iwe imesimama. Nampa mtu kimoja kati ya viwanja hivyo anipe gari