Nabi akienda Azam itakuwaje?

Nabi akienda Azam itakuwaje?

KotelaMamba

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2020
Posts
701
Reaction score
1,241
Hii itakuwaje Wanamichezo wenzangu?

Azam ikitoa Pesa ya kutosha kwa Ajili ya Nabi na wakitoa pesa yakutosha kufanya usajili itakuwaje?
 
Azam walishatangaza kocha wao mkuu kitambo sana jamaammoja wa Senegal huko.
Lakini hata akienda Azam mbona hakuna shida. Jose Mourinho alishatoka Chelsea akaenda Man U akaenda Tottenham
 
Wala hakuna shida itakua ni sawa, lakini kwa tabia za mashabiki Lia Lia wa gongo wazi watamchukia vibaya mno 🚶🚶🚶🚶
 
Wala hakuna shida itakua ni sawa, lakini kwa tabia za mashabiki Lia Lia wa gongo wazi watamchukia vibaya mno [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Wanamdai?
 
Back
Top Bottom