KotelaMamba
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 701
- 1,241
YANGA WATAJINYONGAHii itakuwaje Wanamichezo wenzangu?
Azam ikitoa Pesa ya kutosha kwa Ajili ya Nabi na wakitoa pesa yakutosha kufanya usajili itakuwaje?
Jibu limeshiba kabisa. Japokuwa sijawahi kuona kocha wa Arsenal akinyemelewa na Chelsea direct.Ruksa kwenda popote ni mtu huru
Kwani deal yake ya South Africa imekufa?Hii itakuwaje Wanamichezo wenzangu?
Azam ikitoa Pesa ya kutosha kwa Ajili ya Nabi na wakitoa pesa yakutosha kufanya usajili itakuwaje?
Wanamdai?Wala hakuna shida itakua ni sawa, lakini kwa tabia za mashabiki Lia Lia wa gongo wazi watamchukia vibaya mno [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Ni swali tu.Azam si kuna kocha walishasainisha mdaa tu wanasubiria msimu aanze kazi
Na akikuoa itakuwaje!?Hii itakuwaje Wanamichezo wenzangu?
Azam ikitoa Pesa ya kutosha kwa Ajili ya Nabi na wakitoa pesa yakutosha kufanya usajili itakuwaje?
Okay hapo sawa nahisi singida landaNi swali tu.
Kwasababu Kaizer Chief hawajamtaja Nabi