Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
“Ilipotolewa ile penalti nilihisi naweza kuzimia ilinishtua sana. Unajua ilikuja wakati tunatafuta bao na hatukutakiwa kuruhusu bao lakini jambo zuri kipa wetu (Diarra) alikuwa na siku nzuri kazini.
“Nimemwambia Bacca kuanzia sasa sitaki kumuona tena anafanya kitu kama kile, sitaki kuona anafanya tackling ndani ya eneo la hatari au hata Karibu na hapo Kuna wakati huwezi kufanikiwa kama kilivyotokea.
“Nampenda sana Bacca ni beki ambaye anacheza kama mwanajeshi uwanjani muda wote anatamani kukaba hataki kuona mshambuliaji
anapata utulivu lakini anatakiwa kuendelea kufanyia kazi dosari ambazo tunaendelea kuzifanyia kazi kwake.”