Nabi ampiga stop Bacca

Franky Samuel

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
5,195
Reaction score
13,785
“Ilipotolewa ile penalti nilihisi naweza kuzimia ilinishtua sana. Unajua ilikuja wakati tunatafuta bao na hatukutakiwa kuruhusu bao lakini jambo zuri kipa wetu (Diarra) alikuwa na siku nzuri kazini.

“Nimemwambia Bacca kuanzia sasa sitaki kumuona tena anafanya kitu kama kile, sitaki kuona anafanya tackling ndani ya eneo la hatari au hata Karibu na hapo Kuna wakati huwezi kufanikiwa kama kilivyotokea.

“Nampenda sana Bacca ni beki ambaye anacheza kama mwanajeshi uwanjani muda wote anatamani kukaba hataki kuona mshambuliaji
anapata utulivu lakini anatakiwa kuendelea kufanyia kazi dosari ambazo tunaendelea kuzifanyia kazi kwake.”

 
ACHA KUCHUKUA Taarifa za kitoto na kuleta hapa jukwaani.

Umesikia wapi Nabi ALISEMA hivyo.


Unaweza ukaleta source ya Hiyo habari?????.?


FICHA UJINGA.
 
Yuko sahihi kabisa. Kwa mara ya kwanza kabisa siku ile Bacca alikutana na mjanja mwenzake. Hivyo wakati mwingine anatakiwa kuwa makini.
 
ACHA KUCHUKUA Taarifa za kitoto na kuleta hapa jukwaani.

Umesikia wapi Nabi ALISEMA hivyo.


Unaweza ukaleta source ya Hiyo habari?????.?


FICHA UJINGA.
Mbona kama una hasira za mkizi! Ishu ndogo tu kama hii, unatokwa mapovu. Ni msongo wa mawazo, au kuna kilevi unatumia!
 
Unaweza ukatuthibitishia CHANZO Cha Taarifa yako??????

Otherwise UMEKURUPUKA.

USILETE kitu kisichokuwa na uthibitisho unaudanganya Uma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…