Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alinyea kambi Yanga,Duh kama ni kweli basi mganga anae mroga Nabi sio tapeli. Kwa sababu kila akijaribu kuipeleka timu makundi Afrika inabuma.
# Yanga inafanikiwa kwa sababu ya mipango makini ya kiongozi makini Injia Hersi Said
Yeah,akaringaKumbe alibembelezwa?
Labda awe ameondoka jana, au leo. Mchezo wa juzi dhidi ya UNION TOUARGA, alikuwepo. Ilivumishwa aliondoka na Morrison wake!Duh kama ni kweli basi mganga anae mroga Nabi sio tapeli. Kwa sababu kila akijaribu kuipeleka timu makundi Afrika inabuma.
# Yanga inafanikiwa kwa sababu ya mipango makini ya kiongozi makini Injia Hersi Said
"Injinia wa magodoro hana msaada wowote pale Yanga SC kwa sababu hakuna alichokifanya."Kabla ya Nabi wamepita makocha wangapi pale YANGA SC na wakashindwa kuleta mafanikio?
Injinia wa magodoro hana msaada wowote pale Yanga SC kwa sababu hakuna alichokifanya.
Mpira wetu una pesa kutoka kwa makampuni yameweka pesa ya kudhamini ligi, hivyo vilabu vyetu walau vinaweza pambania mchezaji kutoka pande yoyote ndani ya Africa na wakampata.
Simba Sc & Yanga Sc wanaweza fanya zaidi ya TP Mazembe, Vita Club, Mamelod n.k ni suala la kujitoa na kuweka tamaa pembeni.
Alafu zamani nilifikiriaga mtu akiandika marefuuuuu basi ndio kipanga Ana akili haswa kumbe maweeee!Kabla ya Nabi wamepita makocha wangapi pale YANGA SC na wakashindwa kuleta mafanikio?
Injinia wa magodoro hana msaada wowote pale Yanga SC kwa sababu hakuna alichokifanya.
Mpira wetu una pesa kutoka kwa makampuni yameweka pesa ya kudhamini ligi, hivyo vilabu vyetu walau vinaweza pambania mchezaji kutoka pande yoyote ndani ya Africa na wakampata.
Simba Sc & Yanga Sc wanaweza fanya zaidi ya TP Mazembe, Vita Club, Mamelod n.k ni suala la kujitoa na kuweka tamaa pembeni.
Hersi ni nani na mipango yake pale YangaSC hadi sasa amafanikiwa kwa lipi? Toa wafadhili na wadhamini tuone kama YangaSC atafika popote. YangaSC na SimbaSC bado hazijiwezi kiuchumi wao kama timu bali waafadhili na wadhamini wanaotoa pesa ndio wanawafanya wawe walivyo na wakijiondoa yatatokea yale yale Mahboub Manji.Alafu zamani nilifikiriaga mtu akiandika marefuuuuu basi ndio kipanga Ana akili haswa kumbe maweeee!
Kwamba Hersi hana msaada pale Yanga Ila inafanikiwa sababu makampuni yanadhamini ligi, Asa mbona Ihefu haishiriki kombe la CAF?
Fungua hiyo akili YangaSC & SimbaSC wanatia aibu tu .. yaani miaka yote anatambulika mwakilishi wa mfadhili badala ya klabu? Mafanikio yote ya Yanga au Simba ni ya wadhamini na si ya klabu hilo, kwani bila mfadhili kutoa pesa hakuna kitakachofanyika zaidi ya harambee."Injinia wa magodoro hana msaada wowote pale Yanga SC kwa sababu hakuna alichokifanya."
Sijajua kama umefanya makusudi au kwa bahati mbaya kutotambua juhudi za Eng.Hersi kwenye mafanikio ya Young Africans.
Katika mwaka wake wa kwanza wa uongozi timu imecheza fainali ya CAFCC na kuchukua vikombe vyote vya ndani.
Kwenye Rank za CAF,Eng Hersi ameipokea timu ikiwa ya 75 na pointi 0.5 ila sasa hivi kwenye uongozi wake timu ni ya 16 ikiwa na pointi 20.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa anawafaa madundukaAnakaribishwa simba kwa mikono ya wafuasi
Chuki chuki chukiKabla ya Nabi wamepita makocha wangapi pale YANGA SC na wakashindwa kuleta mafanikio?
Injinia wa magodoro hana msaada wowote pale Yanga SC kwa sababu hakuna alichokifanya.
Mpira wetu una pesa kutoka kwa makampuni yameweka pesa ya kudhamini ligi, hivyo vilabu vyetu walau vinaweza pambania mchezaji kutoka pande yoyote ndani ya Africa na wakampata.
Simba Sc & Yanga Sc wanaweza fanya zaidi ya TP Mazembe, Vita Club, Mamelod n.k ni suala la kujitoa na kuweka tamaa pembeni.
Huwa mnawanga pamoja?Yanga wanga sana,yaani kila anayepita hapo akiondoka hatoboi,itafika muda watu wataogopa kufanya kazi na Yanga
Mental health is reallyHersi ni nani na mipango yake pale YangaSC hadi sasa amafanikiwa kwa lipi? Toa wafadhili na wadhamini tuone kama YangaSC atafika popote. YangaSC na SimbaSC bado hazijiwezi kiuchumi wao kama timu bali waafadhili na wadhamini wanaotoa pesa ndio wanawafanya wawe walivyo na wakijiondoa yatatokea yale yale Mahboub Manji.