Nabii aliyejifananisha na Daniel wa kwenye Bible akaliwa na Simba

Nabii aliyejifananisha na Daniel wa kwenye Bible akaliwa na Simba

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
16,464
Reaction score
35,629
IMG_20240628_212219_586.jpg
🛑 Mwaka 1991, nabii huyu wa Nigeria kwa jina la Daniel Ebodunrin alivutiwa na hadithi ya Daniel katika Bibilia na aliamua kuunda historia kwa mara nyingine tena.

Aliingia kwenye ngome katika hifadhi ya wanyama ambapo simba Na wanyama wengine hatari waliwekwa huku akiwa na imani kwamba Mungu atafunga midomo yao.

Nabiii huyu alipoingia basi Simba wale walimshambulia hadi kufariki dunia .
 
Ungependa kiongozi gani hapa TZ ajifanye Daniel na kujitupa sehemu yenye Simba?
 
Back
Top Bottom