Uongozi wa Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza umepiga marufuku ibada zinazoendeshwa na kiongozi wa kanisa la Mfalme Zumaridi lililoko mtaa wa Iseni kata ya Butimba hadi hapo Serikali itakapojiridhisha kuwa ibada hazikinzani na sheria za nchi. Agizo la kupiga marufuku limetolewa na Mkuu wa Wilaya...
LUSEKELO ASEMA MAISHA NI MAGUMU Mchungaji Anton Lusekelo "Mzee wa Upako" anasema zamani watu walikuwa wanatoa sana sadaka walikuwa wanatuma sadaka kupitia namba zake za simu. Anasema kwa sasa ni tofauti watu wamekuwa wagumu kutoa sadaka, kwake inampa ugumu wa kurusha matangazo kwenye tv kwani...
Mwenge kakobe alikuwa peke yake akiwika Ghafla akakuta Mtume mwingira huyo kaingia hatua chache toka alipo na maelfu ya waumini akimiliki.hadi ndege na television ujogoo ukaisha ghafla Gamanywa na Fernandes walikuwa ndio majogoo mbezi Ghafla bin vuu wakakuta Mtume Mwamposya huyu hapa hatua...
Huyu Mwanamama anayejiita Mungu Zumaridi wa Mwanza baada ya kanisa lake kupigwa kufuli na serikali ya Rais Magufuli, nataka nijue afya yake inaendeleaje? Ni hayo tu, inakuwaje serikali ina nguvu kuliko Mungu Zumaridi, huu sio utu wema.
Hakuna njia yoyote ya mabasi ya daladala yenye uhakika wa kuingiza pesa nyingi kama njia ya mabasi yanayoenda kawe liliko kanisa la Mtume na Nabii Bulldoza Mwamposya. Daladala wanapiga ROUTE na kupakia hadi basi hadi zinashindwa kuhimili uwingi wa watu wanaofurika kwa Mwamposya. Wamiliki wa...
Nimechukua muda wa kutosha kusoma kitabu kinachotoboa siri za utapeli wa TB Joshua kinachoitwa "The TB Joshua I Know-Deception of the Age Unmasked" kilichoandikwa na Bi. Hephzibah Bisola Johnson ambaye alikuwa mtumishi wake wa karibu sana kwa muda wa miaka 14. Infact Bisola alikuwa right-hand...
Polisi wilayani Kisarawe mkoani Pwani, inamshikilia Mchungaji wa kanisa la EAGT la Mtamba, Shauri Steven kwa tuhuma za kumbaka na kumpa mimba mwanafunzi akimlaghai kupitia huduma ya maombi Dar es Salaam. Mchungaji wa Kanisa la EAGT la Mtamba wilayani Kisarawe mkoani Pwani, Shauri Steven...
Kwakweli Aliyeturoga Waafrika atuonee huruma, baada ya biashara ya utapeli ya watu kuuziwa Mafuta, keki, leso , n.k kwa mgongo vina upako , Sasa Zimekuja chupi za Upako , ambazo zinakuwa na Picha ya nabii(tapeli) Hakika wajinga ndio waliwao
Salam kwenu, Sina mengi ya kusema ila katika hali isiyo ya kawaida, Mkurugenzi wa H/mji wa Babati anaendelea KUFUNGA makanisa kisa "Ardhi yake sio kwa matumizi ya ibada". Hali hii isipochunguzwa na kuleta suluhu inaweza kuleta situation isiyo ya kawaida kwakuwa kitendo cha kuingilia imani...
Imeandikwa sehemu gani kwamba vitu vya ufunuo viuzwe? Ninachofahamu mimi ni kuwa mafuta yalitumiwa na manabii na makuhani, kwa ajili ya kazi maalum tu, haikuwa kuyauza wala kuyatangaza kama biashara hapo ni kinyume kabisa na maandiko. Sasa watumishi wa leo wamegeuza hiyo huduma ni biashara...